Watendaji wa PDB/BRN wakiwa tayari kuwapokea wageni |
Mtendaji Mkuu wa PDB, Omari Issa akitoa utangulizi kuhusu BRN ukiwa ni mfumo unaoegama katika kuweka vipaumbele na nidhamu ya utekelezaji wa miradi ya kipaumbele. |
Sehemu ya ujumbe wa Wafanyabiashara wa Ujerumani. Katikati ni Waziri wa Uchumi na Nishati wa Ujerumani aliyeongoza msafara huo. |
Mmoja wa Wakurugenzi wa BRN, Neema Ndunguru (kushoto) akijadiliana jambo na baadhi ya wafanyabiashara kutoka Ujerumani. |
Meneja wa Sekta ya Nishati katika BRN, Ken Mutaonga akijadiliana na mmoja wa watendaji waandamizi kutoka kampuni ya Siemens kutoka nchini Ujerumani. |
0 comments:
Post a Comment