Matokeo Makubwa Sasa! (BRN) ni: Mfumo maalum wa utekelezaji wa miradi unaotumika kutekeleza Sekta Kuu za KItaifa za Kipaumbele (NKRAs) kwa lengo la kuharakisha upatikanaji wa huduma kwa umma ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo, 2025, ya kuifanya Tanzania ifikie hadhi ya kuwa nchi yenye uchumi wa kipato cha kati. Mfumo wa BRN hapa nchini unasimamiwa na Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), idara mpya inayojitegemea iliyoundwa ndani ya Ofisi ya Rais.
Congrats guys! History is indeed being made. The Vision should be a Reality !!!
ReplyDelete